Nimechoka
God kuwa patient na mimi
Daktari alinipa dawa kwa msalaba
But sitaki kupona
Hizo syringe za holy spirit
Siziskii,mi bado nazidi kuzini
On His face na spit
Nimechoka
Kuwa mtoto wa shetani
Uchungu wa kufa daily
Na baada ya mchwa kuna moto inaningoja
Na si eti ntaungua cku moja,Milele itanionja
Mi Nmechoka
Kushed crocodile tears kila usiku
Nikidhani naeza meza sin
Nani shine the Truth
Nkisahau Huezi replace mwamba na mamba
Nimechoka
Kugive up my life for goals unworthy
So navua hii jersey
Ya kudesire things ungodly
Nafuata Christ only
Better than sacrifice ni kutii the Holy
So nipate kwa magoti,kwa maombi
Repentance ya kuafuata dunia,kwake narudi
Vaccination ya blood,dosage ya ya body
1 times 3 prescription ni Yesu,Aniache nikiwa healthy
Cause I'm sick of being messy
Nmechoka kuweka records temporary.
God kuwa patient na mimi
Daktari alinipa dawa kwa msalaba
But sitaki kupona
Hizo syringe za holy spirit
Siziskii,mi bado nazidi kuzini
On His face na spit
Nimechoka
Kuwa mtoto wa shetani
Uchungu wa kufa daily
Na baada ya mchwa kuna moto inaningoja
Na si eti ntaungua cku moja,Milele itanionja
Mi Nmechoka
Kushed crocodile tears kila usiku
Nikidhani naeza meza sin
Nani shine the Truth
Nkisahau Huezi replace mwamba na mamba
Nimechoka
Kugive up my life for goals unworthy
So navua hii jersey
Ya kudesire things ungodly
Nafuata Christ only
Better than sacrifice ni kutii the Holy
So nipate kwa magoti,kwa maombi
Repentance ya kuafuata dunia,kwake narudi
Vaccination ya blood,dosage ya ya body
1 times 3 prescription ni Yesu,Aniache nikiwa healthy
Cause I'm sick of being messy
Nmechoka kuweka records temporary.
No comments:
Post a Comment