IN 2015
I promised God I'd quit team mafisi
Finally tusichana twa jirani tungepata amani
How Gladys angekua happy cause
Ndani ya hii roho ange have monopoly
I promised God I'd be the person to Watch
Cause ngeMspendia Time kwa magoti,kwa maombi
Badala ya jam session zangu zingekua kesha zaconfession
Mushenee kwa ploti haingesteal my attention
From reading His Word na kuskiza from him,Dad
I promised God,
This year would be different
Hange need ku smell malice kila mwisho wa wiki
Cause nimequit malies za kulewa chini ya maji
Nikiexpect kuamka ka siyuko wet
Lying kwa corridor za mtaa half naked
Ama nijipate kwa bed after kiufornicate
Guilt ikirule head,Instead
Ningespend those weekends
Niki spread His love to wale needy
Ku share hats wirth to me,sadaka real
Kutia bidii kwa ile kidogo nmebarikiwa badala ya lawama
Kusaidia wale wako chini badala ya kuwanyanyasa
Maliza umaskini;but ckuwa makini
Kutimiza all my dreams cause me sio heavenly being
Ain't perfect to keep any promise,s0 2016 ikiwa nigh
There's only one thing I 'll ask on my knees
God,nipatie will that consults your Spirit
Before nmake ahadi kwako ama any human being

No comments:
Post a Comment