Tik tok,Tik tok
Tunamove toes tukitalk
Side by side under the moonlight
Stars zinashine zinabrighten the night
Next to me ni malkia
Fikra zangu ameniibia
Huyu dem ni mhot,unaeza dhani ye hula jua
Nikimkosa rohoni mmejaa ukiwa,nmekaukiwa
Kila time 2nameet yeye husteal my breathe
Ananiwacha weak ka kesi ya ruto hague
In my eyes ashaseti specks,wengine see-ezi intake
Ingest,labda niwaweke list ya friends
Simu yeye hapigi nkuflash
C ati juu ni waste anaexpel but
Mapenziye kwangu ni ngumu ku express
Hata kupitia text
C siri,roho ashasteal,ashabury
Next thing am thinking,venye tutamarry.
Tunamove toes tukitalk
Side by side under the moonlight
Stars zinashine zinabrighten the night
Next to me ni malkia
Fikra zangu ameniibia
Huyu dem ni mhot,unaeza dhani ye hula jua
Nikimkosa rohoni mmejaa ukiwa,nmekaukiwa
Kila time 2nameet yeye husteal my breathe
Ananiwacha weak ka kesi ya ruto hague
In my eyes ashaseti specks,wengine see-ezi intake
Ingest,labda niwaweke list ya friends
Simu yeye hapigi nkuflash
C ati juu ni waste anaexpel but
Mapenziye kwangu ni ngumu ku express
Hata kupitia text
C siri,roho ashasteal,ashabury
Next thing am thinking,venye tutamarry.
No comments:
Post a Comment