Saturday, July 21, 2018

Dear Jesus

Dear Jesus
Nlisoma eti we ndo light
Macho yako ni kama moto
So naomba umelt hii roho ya wax
Niwache mambo ya mpango wa kando
Kama kukesha usiku mzima nikiwatsapp na kudownload apps google store
But siezi take 20mins kukuuliza whats up in your store for me
Kuonea wenye umebariki wivu na kulalalia bahati yao
Then nacomplain mbona bado milango yangu imefungwa
Kufornicate kila wiki but kudhihaki maprostitutes,hypocrite wa sexual immorality
Na dandia ideas za world kudispense the Truth
Foundaton ya mchanga,Mungu mwamba nakuomba
Nipee macho yanaona what you need ya kubelieve the unseen
Niflee from sin na my heart kwako nigive
Daily judge me Daddy,so I come clean in repetance
Cause am sure of your mercy utaniforgive
Ulisema wote utalipa sawa hata ule aliingia jioni ama ule wa kurauka
Unto you I humble LORD...

No comments:

Post a Comment