Kama si haya madeni
Landlord kuweka vifuli mbili
Haingefill kama extra security
Kugombana na bibi daily
Haingeturn kua my hobby
Kila time naona mathe wa githeri
Singekua na go missing
Aaah!haya madeni,madeni haya
Kama si haya madeni
Caro would still be my darling
Alimelt roho yangu, kaiwacha mataani
List ya friends imekua almost empty
Its a shame hawataki kuitwa relatives
Aliyesema ukweli, mkono mtupu haurambwi
Usimwambie toka,mwonyeshe a wallet with nothing
Yatanimaliza haya madeni
Yamenichosha haya madeni
Hesabu haibalance ni kama a/cs za serikali
Mifuko yangu iko positive correlated with poverty
Bleeding pen is only thing that's worthy
Nimehit my walls, this is the end
But sikati tamaa, Too rich for that
Nyama foundation ni rock, iite my heart
Magoti chini, kwa Mungu naamini
One day ntabreak bank,Ntaclose payables na balance blank
One day... One day...
Landlord kuweka vifuli mbili
Haingefill kama extra security
Kugombana na bibi daily
Haingeturn kua my hobby
Kila time naona mathe wa githeri
Singekua na go missing
Aaah!haya madeni,madeni haya
Kama si haya madeni
Caro would still be my darling
Alimelt roho yangu, kaiwacha mataani
List ya friends imekua almost empty
Its a shame hawataki kuitwa relatives
Aliyesema ukweli, mkono mtupu haurambwi
Usimwambie toka,mwonyeshe a wallet with nothing
Yatanimaliza haya madeni
Yamenichosha haya madeni
Hesabu haibalance ni kama a/cs za serikali
Mifuko yangu iko positive correlated with poverty
Bleeding pen is only thing that's worthy
Nimehit my walls, this is the end
But sikati tamaa, Too rich for that
Nyama foundation ni rock, iite my heart
Magoti chini, kwa Mungu naamini
One day ntabreak bank,Ntaclose payables na balance blank
One day... One day...
No comments:
Post a Comment