Saturday, July 21, 2018

Word 2

Wanarap ka ma amateur
Itabidi niwapeleke macha
Kwa Mutua awafanyie maendeleo chapchap
Ndio waweze jua kucatch up
Na flow yangu hot kushinda jua
Na bado hawezi ni nusia
Juu fuel yangu ni Word
Naskia eti in town there is word
Promoter alininywesha maji my dolarri
Buh alisahau nimezoea kudrink ile Holy
Thats why spit yangu huwaacha kwa magoti....

No comments:

Post a Comment