Naskia hata juzi waliniona na masilver wakaniita makanga,
Siezi kataa jina juu kila Mtu anifuata anadai change
So hata mnipee matusi many shots I won't change
Hii tym round tunakataa hamtatushortchange
Juu after 2017 tulivuta Ariel badaa ya muosho mmoja tu
Tutapigana now hatutagonja hadi 2022
Hata wakicorrupt gospel industry na kuTwerk kwa ngoma
Twerkabudu ,twerksifu ziwe zao
Tutapigana now hatutangoja 2022
So chukua gloves kama wewe ni member wa hii team
Juu hakuna kucatch feelings hata awe your tribal kingpin
Ni kuwalisha ma..umh umh
Wakiona doo ya umma wanaona sumu
Tunaweka allergy ya corruption na hakuna antidote
White paper bila any dot....

No comments:
Post a Comment