Inaumiza,kuskia eti uliamua kuhang on
Kwani umekua nguo;
No wonder anakubadilisha na mwingine daily
Amekufanya his Sunday best,his sexual well
Kukunywa ile tym ako dry spell
Na,unadai huezi mwacha
Juu ako dark,tall and handsome
Pia ana character,anashika rada
Coz alikufunza sweety si tamu ukila na karatasi
Akihema juu yako kama Mollis,ka boli,akikupepeta
Anaplay feelings zako as if ur heart's plastic
Hajali mimba,kukuambukiza,uwe another statistic
Na unaendelea kuhold on,huezi move on?
Mbona,mbona,mbona
Za mwizi zikifika arubaini
Umbembeleze na mapenzi ya dhati
Huyo mwanaume ametupa mbao
Mpaka anadoz na wale mathe wa kumikumi
Mbona
Mtu hata haezi kununulia lollipop ya tano
Hana fikra za future asave hata one bob
Is it worth it,your heart,less than 50 cents
Are you that cheap?jiulize
Unajiconvince ati atachange,Jamaa anafuata hata change
Ya fifty,Use your common sense
Mrembo,unatumiwa tu,Ukiisha kua fiti
Mwanaume atakujump,akuache kwa fence,umehang on
A move on,ama a move in,na mwingine
So,let go and let God
Let go and let God
Better yet,unaeza endelea kulive in facts fake
In fantasies your relationship ukibase,Ukidai ni love real
Ukisahau mapenzi ya Yesu ndo ilikam kwanza
By Ye strips alikuheal,Time alisulubishwa kwa msalaba
Ni ukweli nakushow so usihate
This is only advice nakupee
Decision we ndo utamake
Kuchoose the truth or the rest
The ball is in your court
The ball's in your caught
No comments:
Post a Comment